"Nitaimba milele wema wake Bwana" ni wimbo wa kutafakari, na zaidi, ni wimbo wakuimba kwenye sakramenta ya ubatizo, uzabitisho, upadirisho, ... wakati huo wa kupakwa mafuta matakatifu.
Tutafakari pamoja wema wa Bwana.