Tushangilie wote ufufuko wa Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristu. Tazama wimbo huu unaoeleza vema Historia ya ufufuko wake, muda huo wa asubuhi na mapema, Magdalena alipojielekeza kaburini.