Nyimbo kutoka Sioni

UTANGULIZI

Kwa neema yake Mungu Mwenyezi, tumejaliwa kukusanya nyimbo
mbalimbali tulizo tunga ao kuandika mwaka uliopita. Zote hizi zina tangaza ukubwa wa Mungu kwa namna tofauti.
Tumezichunguza na kuzipanga ili ziweze kusaidia waimbaji na wakristu wote katika ibada ya misa na kwa kusali.
Ka kutofautisha buku hili na nyingine tulizoandika myaka iliyopita, tumepanga mchango huu “Nyimbo kutoka Sioni” Tunashukuru Mungu ambaye ametupatia vipaji vinavyotuwezesha kuchangia katika kazi hii. 
Tunasema asante kwa wote waliotusaidia kutoka huku na kule kadiri 
walivyoweza ili tukusanye nyimbo hizi kiliturjia kwa kuboresha ibada takatifu. Kwa uzuri na kawaida ya nyimbo hizi, sifa zote zimrudilie Mungu ambaye ametupa vyote kwa bure. Tukijua kama kazi ya mwanadamu si kamilifu, tunangojea msaada wa shauri ao pendekezo fulani kutoka kwenu, aksanti. 
Imefanyika pa Goma, tarehe 02/01/2020 
Oscar Mutabazi Batumike 
+243998624551 
+243853734477 
oscarmutabazi@gmail.com

  • Année de publication : 2019
  • Maison d'édition : Nyimbo kutoka Sioni
  • Téléchargé par : symphorien cikuru
Stats:     38      10
1 / --

Autres livres